Ruka hadi maudhui
Biblia Takatifu
SW
Saidia mradi
Picha: Hifadhi ya Taifa ya Satchari · Bangladesh

Zaburi 134

Hifadhi ya Taifa ya Satchari · Bangladesh · Picha: Abdul Momin · CC BY-SA 4.0

1Wimbo wa kwenda juu. Msifuni Bwana, ninyi nyote watumishi wa Bwana, ninyi mnaotumika usiku ndani ya nyumba ya Bwana.

2Inueni mikono yenu katika pale patakatifu na kumsifu Bwana.

3Naye Bwana, Muumba wa mbingu na dunia, awabariki kutoka Sayuni.

    Marejeo mtambuka kutoka OpenBible.info (CC BY 4.0).